SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / Baadhi Ya 'Vituko' Vilivyopo Ndani ya Daftari la Wapiga Kura.....Picha Zimepigwa jana Wakati UKAWA Wakiongea na Waandishi wa Habari



Huyu  Kaandikishwa  kwa  jina  la  GGGHUH  GGJGJHGHG GGHGGGHG

Mwangalie  vizuri  mzungu    na  majina  yake. Picha  ya  pembeni  kulia  ni  kitu  cheusi  na  siyo  sura  ya  mtu

Angalia  Jina  na  hiyo  picha. Kwa  kuiangalia  sidhani  kama  ni  picha  ya  binadamu

Tazama  majina  na  picha

Hizi  picha  mbili  za  kulia  sio  za  binadamu. Moja  ni  kama  ya  mlango, nyingine  ni  weusi tu  unaonekana


«
Next

Chapisho Jipya

»
Previous

Taarifa za zamani

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply