SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / JUMAMOSI KEPTENI ROONEY FITI KURUDI GOODISON PARK, KUIVAA KLABU YAKE YA ZAMANI!






ROONEY-TRAININGKEPTENI wa Manchester United Wayne Rooney anatarajiwa kuwa fiti kwa Mechi ya Jumamosi ya Ligi Kuu England huko Goodison Park dhidi ya Klabu yake ya zamani Everton.

Rooney aliumia Enka Wiki iliyopita akiwa Mazoezini na Timu ya England ambayo yeye pia ndio Nahodha na kuzikosa Mechi zake mbili za kumalizia Kundi E la EURO 2016 dhidi ya Estonia na Lithuania.

Baada ya Mechi hiii ya Jumamosi, Man United watapaa kwenda Moscow, Urusi kucheza na CSKA Moscow katika Mechi ya Kundi B la UEFA CHAMPIONZ LIGI hapo Jumatano na kufuatia na mtanange wa Dabi ya Jiji la Manchester dhidi ya Man City Jumapili Uwanjani Old Trafford kwenye Mechi ya Ligi Kuu England
MAN UNITED – Mechi zijazo:

Jumamosi Oktoba 17
Ligi Kuu England 
1700 Everton v Man United                  
Jumatano Oktoba 21
UEFA Championz Ligi - Kundi B       
2145 CSKA v Man United           
Jumapili Oktoba 25
Ligi Kuu England 
1705 Man United v Man City                
Jumatano Oktoba 28
Capital One Cup – Raundi ya 4       
2300 Man United v Middlesbrough                  
Jumamosi Oktoba 31
Ligi Kuu England 
1800 Crystal Palace v Man United

«
Next

Chapisho Jipya

»
Previous

Taarifa za zamani

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply