SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / MCHEZAJI WA ZAMANI WA BARCA AIPAISHA STOKE UGENINI!



SWANSEA-STOKEPenati ya Dakika ya 4 iliyofungwa na Mchezaji wa za mani wa Barcelona, Bojan Krkic, Jana iliwapa Stoke City ushindi wa Ugenini walipocheza na Swansea City katika Mechi pekee ya Ligi Kuu England.

Penati hiyo ilitolewa Dakika ya 3 baada ya Bojan kuchezewa faulo na Nahodha wa Swansea Ashley Williams.

Ushindi huo umeipandisha Stoke kushika Nafasi ya 11 na Swansea kuteremka hadi Nafasi ya 14 kwenye Ligi Kuu England.
VIKOSI:
Swansea: Fabianski; Rangel, Fernandez, Williams, Taylor; Cork, Shelvey; Barrow, Ayew, Montero; Gomis
Akiba: Nordfeldt, Naughton, Bartley, Britton, Sigurdsson, Ki, Eder.
Stoke: Butland; Johnson, Cameron, Wollscheid, Pieters; Whelan, Adam; Shaqiri, Bojan, Arnautovic; Joselu
Akiba: Haugaard, Muniesa, Ireland, Wilson, Affelay, Van Ginkel, Crouch.
REFA: Robert Madley.
LIGI KUU ENGLAND
RATIBA:
**Saa za Bongo
Jumamosi Oktoba 24
1700 Aston Villa v Swansea            
1700 Leicester v Crystal Palace               
1700 Norwich v West Brom             
1700 Stoke v Watford            
1700 West Ham v Chelsea     
1930 Arsenal v Everton         
Jumapili Oktoba 25
1500 Sunderland v Newcastle                  
1705 Bournemouth v Tottenham              
1705 Man United v Man City           
1915 Liverpool v Southampton

«
Next

Chapisho Jipya

»
Previous

Taarifa za zamani

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply