SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / Rais Magufuli Amkalia Kooni Kigogo Aliyetaka Kuchukua Ufukwe wa Coco Beach na Kuwekeza...Amsema Kimafumbo

Akitumia lugha ya mafumbo na moja kwa moja alisema hata ukiwa na fedha hata ukiwa na uwezo wa kufoji documents jua serikali ipo tena ya Magufuli. 

Akauliza hivi wakazi milioni nne wa DSM wakiamua kuvamia na kutwaa eneo lao utaenda wapi? Kwanini msitafute maeneo sehemu nyingine na si hili la wanyonge wanapopumzikia?

«
Next

Chapisho Jipya

»
Previous

Taarifa za zamani

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply