Aston Villa, wakicheza kwao Villa Park na Wycombe waliyotoka nayo Sare katika Mechi ya kwanza, Jana walishinda 2-0 na kutinga Raundi ya 4 ambayo watakutana na Man City.
Nao WBA waliitungua Bristol City 1-0 na sasa Raundi ya 4 wataivaa Peterborough.
Leo, huko Anfield, Liverpool wanarudiana na Timu ya Ligi 2, Exeter, baada ya kutoka nayo 2-2 huko Exter City hapo Hanuari 8.
Siku hiyo hiyo, huko King Power Stadium, Leicester City, Timu ambayo ipo kileleni mwa Ligi Kuu England, itarudiana na Tottenham baada ya kutoka 2-2 huko White Hart Lane.
Hii itakuwa mara ya 3 kwa Timu hizi kukutana baada ya Juzi pia Leicester kuichapa Tottenham 1-0 huko White Hart Lane kwenye Ligi.
EMIRATES FA CUP
Marudiano-Raundi ya 3
Mechi zote kuanza Saa 4 Dakika 45 Usiku isipokuwa inapotajwa
Jumanne Januari 19
Aston Villa 2 Wycombe 0
Bolton 3 Eastleigh 2
Bradford 0 Bury 0 [Bury Penati 4-2]
Bristol City 0 West Brom 1
MK Dons 3 Northampton 0
Portsmouth 2 Ipswich 1
Yeovil 1 Carlisle 1 [Carlisle Penati 5-4]
Reading 5 Huddersfield 2
Jumatano Januari 20
Leicester v Tottenham
2300 Liverpool v Exeter
EMIRATES FA CUP
Raundi ya 4
Ijumaa Januari 29
2255 Derby v Man United
Jumamosi Juni 30
1545 Colchester v Tottenham or Leicester
[Zote kuanza Saa 12 Jioni]
Arsenal v Burnley
Crystal Palace v Stoke
Nottm Forest v Watford
Oxford Utd v Blackburn
Shrewsbury v Sheff Wed
Portsmouth v Bournemouth
Aston Villa v Man City
Reading v Walsall
Bolton v Leeds
West Brom v Peterborough
Bury v Hull
2030 Exeter au Liverpool v West Ham
Sunday 31st January 2016
1630 Carlisle v Everton
1900 MK Dons v Chelsea
THE EMIRATES FA CUP 2015/16
TAREHE MUHIMU
Raundi ya 3
Ijumaa 9 Januari 2016
Raundi ya 4
Jumamosi 30 Januari 2016
Raundi ya 5
Jumamosi 20 Februari 2016
Raundi ya 6-Robo Fainali
Jumamosi 12 Machi 2016
Nusu Fainali
Jumamosi 23 Aprili 2016 & Jumapili 24 Aprili 2016
Fainali
Jumamosi 21 Mei 2016

Hakuna maoni :