Jumatano Inter Milan, chini ya Kocha Roberto Mancini, wanakutana tena na Juventus kwenye Mechi ya Pili ya Nusu Fainali ya Coppa Italia wakiwa na kazi ngumu ya kupindua kipigo cha 3-0 cha Mechi ya Kwanza.
Leo hii Napoli wako Ugenini kucheza na Fiorentina na wanaweza kupunguza pengo lao na Juve wakishinda.
SERIE A
Ratiba/Matokeo:
Jumamosi Februari 27
Empoli 1 AS Roma 3
AC Milan 1 Torino 0
Jumapili Februari 28
Palermo 0 Bologna 0
Chievo Verona 1 Genoa 0
Udinese 2 Verona 0
Sampdoria 2 Frosinone 0
Carpi 1 Atalanta 1
Juventus FC 2 Inter Milan 0
Jumatatu Februari 29
SS Lazio v US Sassuolo Calcio
ACF Fiorentina v SSC Napoli

Hakuna maoni :