SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / COUTINHO AINGIA KWENYE REKODI YA KUKAA BENCHI MECHI NNE YANGA IKISHINDA ZOTE



Kiungo Mbrazil, Andre Coutinho ameweka rekodi ya kukaa benchi kwa mechi nne mfululizo.


Coutinho amekaa nje mechi ya nne mfululizo huku Yanga ikishinda mechi yake ya nne mfululizo.

Mechi zote nne, Coutinho amekuwa akikaa benchi pamoja na beki Vicent Bossou raia wa Togo.

Mechi ya kwanza Yanga iliifunga Coastal Union mabao 2-0, ikaishinda Prisons mabao 3-0 kabla ya kuitwanga JKT Ruvu mabao 4-1.


Baada ya hapo, Yanga imekutana na watani wake Simba na kuwashinda kwa mabao 2-0, Mbrazil huyo aliendelea kuwa kwenye benchi.

«
Next

Chapisho Jipya

»
Previous

Taarifa za zamani

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply