Kipa
mpya wa Mbeya City, Juma Kaseja akifurahia na wenzake ushindi wa 3-0
leo dhidi ya JKT Ruvu ushindi wa Sokoine mjini Mbeya, Kaseja alianza
vibaya baada ya Mbeya City kufungwa 1-0 na Kagera Sugar katika mchezo wa
kwanza Jumamosi, lakini leo hakuruhusu nyavu zake kuguswa.
Hakuna maoni :