SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / MBEYA CITY YAAMKA, YAIZAMISHA MARA TATU JKT


Mbeya City imeanza rasmi Ligi Kuu Bara baada ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya JKT Ruvu.

JKT inayofundishwa na Fred Felix Minziro ilishindwa kuvumilia kasi na hamu ya ushindi ya wenyeji wake baada ya kushinda kwa idadi hiyo kubwa ya mabao.
Mbeya City ilianza ligi nyumbani na kupoteza mechi dhidi ya Kagera Sugar ambayo iliwatwanga bao 1-0.

Mabao ya Joseph Mahundi, David Kabole na mkongwe Themi Felix ndiyo yaliyoibeba Mbeya City kuanza kubeba pointi tatu.

«
Next

Chapisho Jipya

»
Previous

Taarifa za zamani

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply