Picha 4 nje ya Mahakama baada ya Mwimbaji wa Gospel Emmanuel Mbasha kushinda kesi ya kubaka…
Moja ya stori kubwa iliyogusa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania ni
ishu ya Hukumu ya kesi ya Mwimbaji wa Gospel Tanzania, Emmanuel Mbasha
ambapo alikuwa anakabiliwa na Kesi ya kumbaka shemeji yake na kesi
imekuwa Mahakamani tangu mwaka 2014.
Tayari hukumu ya Kesi hiyo imetolewa Mahakama ya Wilaya ya Ilala Dar es Salaam leo, Mwimbaji huyo ameachiwa huru baada ya Mahakama kumkuta hana hatia kwenye Kesi hiyo.
Tayari hukumu ya Kesi hiyo imetolewa Mahakama ya Wilaya ya Ilala Dar es Salaam leo, Mwimbaji huyo ameachiwa huru baada ya Mahakama kumkuta hana hatia kwenye Kesi hiyo.
Hakuna maoni :