• Manchester City (4-2-3-1): Hart 7, Maffeo 6.5, Stones 7 (Adarabioyo 60, 6)...

  • SALVATORY EDWARD Kiungo wa zamani wa timu ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kide...

  • Baada ya kikosi cha Mwadui FC kuchapwa kwa bao 1-0 katika mechi yao ya Lig...

  • Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limeweka bayana kuwa, lipo kwenye mpango wa ...

SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / DROGBA AIBEBA TORONTO AKIFUNGA BAO LA 12 KATIKA MECHI 12





Mshambuliaji Didier Drogba amezidi kuonyesha kweli ana makali na yuko fiti baada ya kufunga bao lake la 12 katika mechi 12 za Ligi Kuu ya Soka nchini Marekani maarufu kama Major League.

Drogba aliyeng’ara akiwa na Chelsea, ameifungia timu yake ya Montreal bao muhimu na kuiwezesha kuvuka katika hatua ya mtoani ilipoishinda Toronto kwa mabao 3-0.

Kabla ya hapo, Drogba alikuwa ametengeneza nafasi mbili zilizozaa mabao yaliyofungwa na Patrice Bernier na Ignacio Piatti.
Kwa Toronto hiyo ni rekodi kufika katika hatua hiyo mtoano hali iliyofanya kuwe na sherehe kubwa katika mitaa baada ya ushindi huo.




«
Next
YANGA SC WAWAOMBA RADHI MASHABIKI, WASEMA HAWATARUDIA MAKOSA TENA
»
Previous
Rais Kikwete Alivyomkaribisha Kumpongeza Dk. Magufuli Baada ya Matokeo ya Urais Kutangazwa

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply