SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / EURO 2016: RAUNDI 2 ZA MWISHO KUANZA ALHAMISI, 5 ZIPO FAINALI, BADO 19!




EURO2016Raundi mbili za mwisho za Mechi za Makundi za Mashindano ya Mataifa ya Ulaya, EURO 2016, zinaanza kuchezwa Alhamisi huku tayari Timu 5 zilizotinga Fainali zikijulikana na kubakisha nafasi 19.

Ukiondoa Wenyeji France, ambako EURO 2016 itachezwa Mwakani ambao wanafuzu moja kwa moja, Timu nyingine 4 zilizofuzu mapema zikiwa na Mechi mkononi ni Iceland, Czech Republic, England na Austria.

Makundi ya EURO 2016 yapo 9 na Mshindi wa kila Kundi pamoja na Mshindi wake wa Pili pamoja na Mshindi wa 3 mmoja Bora wanatinga moja kwa moja Fainali na kubakisha Nafasi 4 ambazo zinapangiwa Mechi maalum za Mchujo kutokana na Timu 8 zilizomaliza Nafasi za 3 toka kila Kundi.

PATA TATHMINI YA KILA KUNDI:
KUNDI A
Timu 2 za Juu: Iceland (Imeshafuzu), Czech Republic (Imeshafuzu)
Timu ya 3: Turkey
Bado zinaweza kufuzu: Netherlands
Jumamosi: Iceland v Latvia, Kazakhstan v Netherlands, Czech Republic v Turkey
Oktoba 13: Latvia v Kazakhstan, Netherlands v Czech Republic, Turkey v Iceland
-Turkey wako mbele ya Netherlands kwa Pointi 2 na wataitwaa Nafasi ya 3 Jumamosi wakitoka Sare na Czech Republic ikiwa Netherlands watafungwa na Kazakhsyan.
KUNDI B
Timu 2 za Juu: Wales, Belgium
Timu ya 3: Israel
Bado zinaweza kufuzu: Bosnia and Herzegovina, Cyprus
Jumamosi: Andorra v Belgium, Bosnia and Herzegovina v Wales, Israel v Cyprus
Oktoba 13: Belgium v Israel, Cyprus v Bosnia and Herzegovina, Wales v Andorra
-Wales, wakiwa na hakika ya angalau kwenda Mechi ya Mchujo, wanaweza kufuzu moja kwa moja Fainali wakipata Pointi 1 tu katika Mechi zao 2 zilizobaki.
-Belgium, kama Wales, wana hakika ya angalau kucheza Mechi za Mchujo lakini watafuzu moja kwa moja wakiifunga Andorra.
KUNDI C
Timu 2 za Juu: Spain, Slovakia
Timu ya 3: Ukraine
Ijumaa: FYR Macedonia v Ukraine, Slovakia v Belarus, Spain v Luxembourg
Oktoba 12: Belarus v FYR Macedonia, Luxembourg v Slovakia, Ukraine v Spain
-Spain na Slovakia zitaenda Fainali zikishinda moja ya Mechi zao 2 zilizobaki.
KUNDI D
Timu 2 za Juu: Germany, Poland
Timu ya 3: Republic of Ireland
Inaweza kumaliza Nafasi ya 3: Scotland
Alhamisi: Georgia v Gibraltar, Republic of Ireland v Germany, Scotland v Poland
Jumapili: Germany v Georgia, Gibraltar v Scotland, Poland v Republic of Ireland
-Germany, ambao wana hakika wa angalau kucheza Mechi za Mchujo, watafuzu wakitoka Sare na Ireland. Poland pia watafuzu wakishinda Mechi yao huku Ireland ikishindwa kuifunga Germany.
-Scotland inabidi waifunge Poland na kuomba Ireland ili waweze kubakia kwenye kinyang’anyiro.
KUNDI E
Timu 2 za Juu: England (Imeshafuzu), Switzerland
Timu ya 3: Slovenia
Bado zinaweza kufuzu: Estonia, Lithuania
Ijumaa: England v Estonia, Slovenia v Lithuania, Switzerland v San Marino
Oktoba 12: Estonia v Switzerland, Lithuania v England, San Marino v Slovenia
-Ikiwa Slovenia wataifunga Lithuania Ijumaa, basi nani anaungana na England kwenda Fainali moja kwa moja itaamuliwa kwenye Mechi za mwisho.
KUNDI F
Timu 2 za Juu: Northern Ireland, Romania
Timu ya 3: Hungary
Bado zinaweza kufuzu: Finland
Alhamisi: Hungary v Faroe Islands, Northern Ireland v Greece, Romania v Finland
Jumapili: Faroe Islands v Romania, Finland v Northern Ireland, Greece v Hungary
-Northern Ireland watafuzu Fainali wakishinda Mechi 1 kati ya zao 2 zilizobaki.
KUNDI G
Timu 2 za Juu: Austria (Imeshafuzu), Russia
Timu ya 3: Sweden
Bado zinaweza kufuzu: Montenegro
Ijumaa: Liechtenstein v Sweden, Moldova v Russia, Montenegro v Austria
Oktoba 12: Austria v Liechtenstein, Russia v Montenegro, Sweden v Moldova
-Ikiwa Russia wataifunga Moldova huku Sweden na Montenegro zikipoteza Pointi, Russia watafuzu Fainali hiyo Ijumaa.
KUNDI H
Timu 2 za Juu: Italy, Norway
Timu ya 3: Croatia
Bado zinaweza kufuzu: Bulgaria
Jumamosi: Azerbaijan v Italy, Norway v Malta, Croatia v Bulgaria
Oktoba 13: Bulgaria v Azerbaijan, Italy v Norway, Malta v Croatia
-Italy watafuzu Fainali wakishinda moja ya Mechi zao 2 zilizobaki.
-Norway wanaweza kufuzu Jumamosi wakishinda ikiwa Croatia hawatashinda.
KUNDI I
Timu 2 za Juu: Portugal, Denmark
Timu ya 3: Albania
Alhamisi: Albania v Serbia, Portugal v Denmark
Jumapili: Armenia v Albania, Serbia v Portugal
-Portugal watafuzu wakitoka Sare na Denmark Alhamisi.
EURO 2016
RATIBA
**Saa za Bongo
Alhamisi Oktoba 8
1900 Georgia vs Gibraltar
2145 Albania vs Serbia
2145 Hungary vs Faroe Islands
2145 Northern Ireland vs Greece
2145 Portugal vs Denmark
2145 Republic of Ireland vs Germany
2145 Romania vs Finland
2145 Scotland vs Poland
Ijumaa Oktoba 9
2145 England vs Estonia
2145 Liechtenstein vs Sweden
2145 Macedonia vs Ukraine
2145 Moldova vs Russia
2145 Montenegro vs Austria
2145 Slovakia vs Belarus
2145 Slovenia vs Lithuania
2145 Spain vs Luxembourg
2145 Switzerland vs San Marino

Jumamosi Oktoba 10


1900 Azerbaijan vs Italy
1900 Iceland vs Latvia
1900 Kazakhstan vs Netherlands
1900 Norway vs Malta
2145 Andorra vs Belgium
2145 Bosnia and Herzegovina vs Wales
2145 Croatia vs Bulgaria
2145 Czech Republic vs Turkey
2145 Israel vs Cyprus

Jumapili Oktoba 11

1900 Armenia vs Albania
1900 Faroe Islands vs Romania
1900 Finland vs Northern Ireland
1900 Greece vs Hungary
1900 Serbia vs Portugal
2145 Germany vs Georgia
2145 Gibraltar vs Scotland
2145 Poland vs Republic of Ireland

Jumatatu Oktoba 12

1900 Austria vs Liechtenstein
1900 Russia vs Montenegro
1900 Sweden vs Moldova
2145 Belarus vs Macedonia
2145 Estonia vs Switzerland
2145 Lithuania vs England
2145 Luxembourg vs Slovakia
2145 San Marino vs Slovenia
2145 Ukraine vs Spain

Jumanne Oktoba 13

2145 Belgium vs Israel
2145 Bulgaria vs Azerbaijan
2145 Cyprus vs Bosnia and Herzegovina
2145 Italy vs Norway
2145 Latvia vs Kazakhstan
2145 Malta vs Croatia
2145 Netherlands vs Czech Republic
2145 Turkey vs Iceland
2145 Wales vs Andorra

«
Next

Chapisho Jipya

»
Previous

Taarifa za zamani

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply