SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / Faiza Ally asema huenda ana ujauzito wa mpenzi wake Mmarekani Hivyo Kurudiana na Sugu ni Ndoto



 
 Mzazi mwenzake na mbunge wa Mbeya mjini, Sugu – Faiza Ally, amedai kuwa huenda akawa ni mjamzito.

Akizungumza kwenye kipindi cha Friday Night Live cha EATV, Faiza alisema kutokana na hilo hadhani kama ataweza kurudiana na Sugu tena.

Sasa hivi nipo na mpenzi wangu na pengine naweza kuwa na mimba, not sure kwa sababu sijapima,” alisema. “Kwahiyo kurudiana hiyo ni kwenye ndoto tu siyo kitu hata ambacho unaweza kukizungumzia. Sio mpenzi mpya nimekutana naye baada ya mwaka mmoja kuachana na Sugu, sasa hivi tuna kama mwaka,” aliongeza.

«
Next
Lipumba Aibukia Ofisi za CUF, Ataka JK Aingilie Kati Suala za ZEC
»
Previous
LIVERPOOL YAITWANGA CHELSEA 3-1, JOSE MOURINHO ASOGEA MLANGO WA KUTOKEA

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply