SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / LIGI KUU ENGLAND: JUMAMOSI ARSENAL KUIBONDA EVERTON NA KUPAA KILELENI?




ARSENAL-EVERTON-LOGOBAADA ya kuzichapa Man United, Watford na Bayern Munich, Jumamosi Arsenal wana nafasi ya kutwaa uongozi wa Ligi Kuu England kwa mara ya kwanza katika Miaka Miwili ikiwa wataifunga Evrton Uwanjani Emirates.

Msimu uliopita kwenye Mechi kama hii, Arsenal iliifunga Everton 2-0 na safari hii Arsenal wapo kwenye wimbi zuri la ushindi wakitoka kuzichapa 3-0 Man United na Watford kwenye Ligi na 2-0 Bayern Munich kwenye UEFA CHAMPIONZ LIGI.

Everton wao wanatinga kwenye Mechi hii wakitoka kwenye kipigo cha 3-0 Nyumbani kwao Goodison Park kutoka kwa Man United.

Ikiwa Arsenal wataifunga Everton basi watakaa kileleni mwa Ligi pengine hadi Jumapili wakati Dabi ya Manchester ikichezwa huko Old Trafford kati ya Man United na Man City ambao wana nafasi ya kuishusha Arsenal toka kileleni.

Majeruhi:
-Arsenal: Ospina, Ramsey, Rosicky, Wilshere, Welbeck
-Everton: Besic, Baines, Hibbert, Pienaar
VIKOSI:
ARSENAL-EVERTON-TEAMS
REFA: Lee Mason
LIGI KUU ENGLAND
RATIBA:
**Saa za Bongo

Jumamosi Oktoba 24
1700 Aston Villa v Swansea            BPL-STAND-OKTI23
1700 Leicester v Crystal Palace               
1700 Norwich v West Brom             
1700 Stoke v Watford            
1700 West Ham v Chelsea     
1930 Arsenal v Everton
         
Jumapili Oktoba 25

1500 Sunderland v Newcastle                  
1705 Bournemouth v Tottenham              
1705 Man United v Man City           
1915 Liverpool v Southampton  

«
Next

Chapisho Jipya

»
Previous

Taarifa za zamani

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply