SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / MAZOEZI YA TAIFA STARS MCHANA WA LEO UWANJA WA KAMUZU


Kiungo Said Ndemla akimiliki mpira mbele ya mshambuliaji Thomas Ulimwengu
Viungo Himid Mao (kushoto) na Said Ndemla wakigombea mpira
Mabeki Kevin Yondan (kulia) na Mohammed Hussein 'Tshabalala' wakiwania mpira wa juu
Winga Farid Mussa akiambaa na mpira mbele ya Hassan Isihaka na Mbwana Samatta
Kiungo Mrisho Khalfan Ngassa akinywa maji wakati wa mapumziko ya mazoezi hayo
Kocha Charles Boniface Mkwasa akimuelekeza jambo Msaidizi wake, Hemed Morocco (kulia)
Nahodha Nadir Haroub 'Cannavaro' (kushoto) akiwaongoza wenzake katika mazoezi ya kukimbia
Baadhi ya viongozi na Watanzania waliokuja kuisapoti Taifa Stars mjini hapa
Baadhi ya Watanzania waliokuja kuisapoti Taifa Stars mjini hapa

«
Next

Chapisho Jipya

»
Previous

Taarifa za zamani

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply