• Manchester City (4-2-3-1): Hart 7, Maffeo 6.5, Stones 7 (Adarabioyo 60, 6)...

  • SALVATORY EDWARD Kiungo wa zamani wa timu ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kide...

  • Baada ya kikosi cha Mwadui FC kuchapwa kwa bao 1-0 katika mechi yao ya Lig...

  • Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limeweka bayana kuwa, lipo kwenye mpango wa ...

SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / Vibanda vya Mama Lishe na Mitumba Vyachomwa Moto Mkoani Njombe......Polisi Yawataka Wananchi Kuwa Watulivu Wakati Wakisubiri Matokeo



Moto ambao chanzo chake hakijajulikana hadi sasa umeteketeza baadhi ya mabanda ya mama lishe na mitumba karibu na kituo cha mabasi mkoani Njombe.

Hata hivyo, kikosi cha Zimamoto mkoani humo kimefanikiwa kuuzima moto huo usiku wa kuamkia leo ambapo polisi wamesema uchunguzi wa tukio hilo unaendelea.

Kwa mujibu kikosi hicho, mabanda mengine yamesalimika katika ajali hiyo.

Hata hivyo, kikosi hicho kimewataka wananchi kuwa watulivu wakati huu wakisubiri matokeo ya uchaguzi ambayo yanatarajiwa kutolewa muda wowote mkoani humo.

Kwa mujibu wa kituo cha luninga cha AzamTV, polisi mkoani humo wamesema uchaguzi mkoani humo ulifanyika kwa utulivu na hsata moto huo ulipotokea, wananchi wengi walikuwa majumbani mwao.

«
Next
Tume Ya Taifa Ya Uchaguzi Yaanza Kutangaza Matokeo ya Urais......Majimbo Matatu yametangazwa na Yote Yamechukuliwa na CCM
»
Previous
CCM yakabiliwa na upinzani mkali kutoka kwa UKAWA

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply