Bayern
Munich bado kiwembe asee! Imeikong’ota Olimpiakos ya Ugiriki kwa mabao 4-0 katika mechi ya
Ligi ya Mabingwa Ulaya.
Sasa
ina uhakika wa kila kitu katika hatua ya mtoano na shukurani zinaenda kwa
Douglas Costa, Robert Lewandwski, Thomas Muller na Kingsley Coman.
Hakuna maoni :