Rais
wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania, Mh. Dkt John Pombe Joseph Magufuli
amemsimamisha kazi kuanzia jana tarehe 27 Nov. 2015, Kamishna Mkuu wa
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ndugu Rished Bade kufuatia ziara ya
kushtukiza ya Waziri Mkuu, Mh. Majaliwa Kasimu Majaliwa mapema jana
asubuhi Bandarini jijini Dar es salaam.
Katibu
Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akizungumza na waandishi kutoka
vyombo mbalimbali vya habari (hawapo pichani) kuhusu upotevu wa
makontena zaidi ya 349 huku akiwa ameshika nyaraka yenye orodha ya
makontena hayo.
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akionesha nyaraka hiyo mbele ya waandishi wa habari waliofika kwenye mkutano huo.
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue wakwanza kushoto akifafanua jambo mbele ya wanahabari.


Hakuna maoni :