Kwa mara ya kwanza toka nimekatwa mguu miaka 6 iliyopita leo nimechukua
nafasi hii kupost hii pic kuondoa maswali mengi yaliyopo vichwani mwa
watu
Nipo kama unavyoiona pic
Huyo ndio wastara nilivyo hakuna kilichopungua zaidi ya hicho unachokiona
Kuwa mlemavu ni kitu kingine tofauti ukiwa mzima hivyo kusikia maumivu na kuumwa mguu ni kitu cha kawaida
Sasa nipo nairobi kimatibabu na tatizo ni operetion ya kwanza nilikosewa
ndio sababu ya maumivu ya mara kwa mara madaktari wameshajua nini cha
kunifanya ili kuondoa mateso kwangu
Jifunze kitu kupitia hii pic yangu na si kucoment ujinga jiulize
ungekuwa wew mama yako dada yako mume,mke, wako ungeweza kusmile kma
mimi hali ya kuwa una maumivu?
Jifunze kitu kupitia wastara
na sijajidharirisha nimetaka wewe unijue nilivyo ili usiteseke na maswali juu yangu
Sijakatwa miguu yote kma ilivyovumishwa na pia pamoja na maumivu
ninaweza kutembea japo si mwendo mrefu sana na naendelea kusmile
SOTE TUSEME ALHMADULILAH
ASANTE MUNGU
Wastara Juma @wastara84 on instagram
Home
/
BURUDANI
/
Kwa Mara ya Kwanza Wastara Aonyesha Miguu Yake na Kuandika Mazito Kuhusu Kinachomsumbua
Kwa Mara ya Kwanza Wastara Aonyesha Miguu Yake na Kuandika Mazito Kuhusu Kinachomsumbua
Tagged with: BURUDANI

Hakuna maoni :