SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / Mkazi Mmoja wa Mkoa wa Morogoro Amejikata Kidole Chake Baada ya Lowassa Kukosa Urais

Mkazi mmoja wa mkoa wa Morogoro amejikata kidole chake kidogo cha mkono wa kushoto ambacho huingizwa kwenye wino baada ya kupiga kura ikiwa ni hasira ya Lowassa kukosa uraisi.
Mkazi huyo pia ameharibu kadi yake ya kupiga kura na kuahidi kutopiga kura tena katika maisha yake.

«
Next

Chapisho Jipya

»
Previous

Taarifa za zamani

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply