• Manchester City (4-2-3-1): Hart 7, Maffeo 6.5, Stones 7 (Adarabioyo 60, 6)...

  • SALVATORY EDWARD Kiungo wa zamani wa timu ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kide...

  • Baada ya kikosi cha Mwadui FC kuchapwa kwa bao 1-0 katika mechi yao ya Lig...

  • Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limeweka bayana kuwa, lipo kwenye mpango wa ...

SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / SIMBA YAKUBALI YAISHE, RASMI YAWATEMA N'DAW, SSERUNKUMA

N'DAW HEWANI

Hatimaye sasa rasmi, klabu ya Simba imetangaza kuwatema washambuliaji wake wawili wakigeni, Pape N’daw na Simon Sserunkuma.


N’daw raia wa Senegal ameonekana kama muigizaji na baada ya Kocha Dylan Kerr kumpigia kura ya ndio kila mara, uongozi wa Simba umesema ndiye aliyempendekeza aachwe.
 
ALIPOBAMBWA NA HIRIZI...
Ndani ya mechi nane, N’daw hajafunga hata bao moja na ataendelea kukumbukwa na lile tukio la kukutwa na hirizi maarufu kama Power Bank wakati Simba ikicheza na Prisons.


Sserunkuma alisajiliwa msimu uliopita akitokea kwao Uganda, lakini naye ameonyesha hakuna lolote.
SIMON SSERUNKUMA

Wachezaji hao wa kigeni, walionekana hawana afaida yoyote katika kikosi cha Simba licha ya kuwa wakipata utetezi kutoka kwa benchi la ufundi, kwamba angalau wanaweza kuanza kung'ara na haikuwa hivyo.

«
Next

Chapisho Jipya

»
Previous

Taarifa za zamani

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply