Waziri Mkuu Mh.Majaliwa ameitaka TAMISEMI kujieleza ni kwanini mradi wa mabasi yaendayo kasi DART haujaanza hadi sasa.
Ameagiza watendaji wote wa wizara ya TAMISEMI, akiwemo Katibu Mkuu wa
Wizara ya TAMISEMI kufika Ofisini kwake kesho asubuhi kueleza kwa nini
mabasi hajaanzana kazi wakati miundombinu imeshakamilika.
Ameyasema hayo leo alipotembelea Wizara ya TAMISEMI na kuongea na watendaji wa wizara hiyo.
Hakuna maoni :