SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / XAVI ASHUHUDIA MECHI HOTELINI, ASEMA MADRID WALITAKIWA 'WAUWAWE' TANO AU ZAIDI

Kiungo nyota wa Barcelona, Xavi Hernández amesema Madrid wangefungwa mabao matano au zaidi.


Xavi amesema aliangalia mechi ya El Clasico ambayo Barcelona ilishinda kwa mabao 4-0 ikiwa ugenini Santiago Bernabeu, lakini anaona ushindi ungeweza kuwa zaidi.

“Barcelona ilichezo soka bora katika kila idara, ulinzi, kiungo, ushambuliaji walikuwa juu sana.

“Nilikuwa hotelini hapa Doha, Qatar kwa kweli nili-enjoy sana mchezo ule. Nawapongeza Barcelona kwa mchezo mzuri na mechi hiyo hiyo imekuwa ya kihistoria.

“Walistahili kushinda zaidi ya hapo, walionyesha wao ni timu ya kiwango cha dunia na ubora wao ni wa kidunia,” alileza nahodha huyo wa zamani wa Barcelona.


Katika mechi hiyo, Barcelona ilitawala kwa asilimia 80 na kuwapa Madrid wakati mgumu huku nyota kama Cristiano Ronaldo, Karim Benzema na Gareth Bale wakiwa hawana chao.

«
Next

Chapisho Jipya

»
Previous

Taarifa za zamani

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply