SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / CECH AIPA UBINGWA ARSENAL

Mlinda lango wa Arsenal Petr Cech amesema kwamba kupona kwa baadhi ya wachezaji muhimu wa kikosi cha kwanza kutawafanya wachukue taji la EPL msimu huu.
Arsenal walikuwa katika kiwango bora katika mchezo wao dhidi ya Manchester City na kufanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-1, mchezo uliopigwa katika dimba la Emirates usiku wa Jumatatu , hivyo kufanya wawe wamefungwa mara moja kati ya michezo 11 ya mwisho.
Arsenal wanakabiliwa na rundo la majeruhi ya wachezaji kama vile including Jack Wilshere, Mikel Arteta, Santi Cazorla, Danny Welbeck, Tomas Rosicky na Francis Coquelin.
Cech anaamini kwamba juhudi zao kujumlisha na majeruhi waliopo katika meza ya matibabu ni ishara ya wao kuwa na uwezekano mkubwa wa kuwa mabingwa msimu huu
 “Kikosi kipo imara na kila mmoja atakaporejea katika ubora wake, kocha ataweza kutumia kila mchezaji atakayehitajika kwa kipindi hicho. Hivyo itakuwa rahisi sana kuchukua ubingwa msimu huu,” alisema.
“Katika msimu wote huu tumekuwa na matatizo mengi sana.”
Kila kitu hakiendi kama kilivyopangwa. Hatuwezi kuzuia majeraha, wakati mwingine unakuwa na majeruhi wengi, lakini pamoja na hayo yote tumeweza kupata matokeo mazuri.

«
Next

Chapisho Jipya

»
Previous

Taarifa za zamani

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply