Wakienda kule mawaziri wakafanye kazi
kweli ndio maana sisi tulipochaguliwa tulifanya kazie kweli na
hatukwenda kwenye semina elekezi na tulijielekeza, wakajieleze kwenye
maeneo yao.
Wasihangaike kufanya sherehe kwa sababu
ni kazi ngumu na kama wapo wanaopenda kufanya sherehe wajiandae kufanya
sherehe siku wakifukuzwa, contract ni miaka mitano. Wakawafanyie kazi
watanzania bila kuwabagua, Baraza hili la wizara 15 tumejiridhisha
linaweza kufanya kazi tunayowatarajia kuifanya effectivly. Ngoja
tukimaliza uteuzi wote tutajua tumesave kiasi gani ili ziweze kwenda kwa
wananchi.
Hakuna maoni :