SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / VPL: KILELENI NGOMA NGUMU, JUMAPILI DABI YA TANGA COASTAL-SPORTS!


LIGI KUU VODACOM
MATOKEO
Jumamosi Desemba 12
Kagera Sugar 1 Ndanda FC 1
Stand United 0 Mwadui FC 2
Mbeya City 2 Mtibwa Sugar 2
Azam FC 2 Simba 2
Majimaji 0 Toto Africans 4
Mgambo JKT 0 Yanga 0

VPL-SIT-LOGOLigi Kuu Vodacom, VPL, imerejea Leo kilingeni nan a fasi za juu kubaki vile vile baada ya Timu zote za kileleni kutoka Sare.

Jijini Dar es Salaam, Uwanja wa Taifa, Azam FC na Simba zilitoka 2-2, huko Mkwakwani Yanga kubanwa 0-0 na Mgambo JKT wakati Mbeya City ikitoka 2-2 na Mtibwa Sugar.

Kwenye Mechi ya Uwanja wa Taifa, Mabao ya Leo yalifungwa na John Bocco, Bao 2 kwa Azam FC, na Ajib, Bao 2 kwa Simba.
Matokeo haya yameibakisha Azam FC kileleni ikiwa na Pointi 26, ikifuatiwa na Yanga yenye 24, Mtibwa Sugar 23 na Simba 22 huku Timu zote hizo zikiwa zimecheza Mechi 10.

LIGI KUU VODACOM
Mechi zijazo
Jumapili Desemba 13
JKT Ruvu v Tanzania Prisons
Coastal Union v African Sports
Jumatano Desemba 16
African Sports v Yanga
Jumamosi Desemba 19
Yanga v Stand United
Mwadui FC v Ndanda FC
Kagera Sugar v African Sports
Tanzania Prisons v Mtibwa Sugar
Toto Africans v Simba
Majimaji v Azam FC
Jumapili Desemba 20
JKT Ruvu v Coastal Union
Mbeya City v Mgambo JKT
Jumatano Desemba 23
Azam FC v Mtibwa Sugar
Jumamosi Desemba 26
Ndanda FC v JKT Ruvu
Yanga v Mbeya City

«
Next

Chapisho Jipya

»
Previous

Taarifa za zamani

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply