SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / WAZUNGU WAENDELEA KUMPA OKWI TAA YA KIJANI AREJEE ZAKE MSIMBAZI



Klabu ya Sonderjyske ya Denmark imesisitiza iko tayari kumuachia Emmanuel Okwi kama watakubaliana na Simba.

Lakini imeendelea kushikilia msimamo wa kutaka malipo yafanyika.

Hata hivyo habari kutoka ndani ya klabu ya Sonderjyske zimeeleza, huenda klabu hiyo ikakubali kulipwa taratibu kwa kuwa inataka Okwi aende.
‘Inaonekana Okwi hana raha sana ana Sonderjyske imekuwa ikifanya vizuri. Pia inataka kujiongezea nguvu kwa kusajili tena.

“Nafasi ya Okwi inabaki kuwa kama sehemu muhimu, hivyo uongozi unaona bora nafasi hiyo asajiliwe mchezaji mwingine.

“Ndiyo maana unataka upewe dola laki 120 ilizolipa kumnunua. Baada ya hapo, ifanya manunuzi ya mchezaji mwingine,” kilieleza chanzo.


Tayari Simba imetaarifiwa kuhusiana na hilo, lakini suala la fedha linaonekana kuwatatizo Wanamsimbazi ingawa kweli wana hamu kuona nyota huyo anarejea.

«
Next

Chapisho Jipya

»
Previous

Taarifa za zamani

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply