RAIS wa Shirikisho la Soka la Rwanda, Vincent Nzamwita, amesema wako tayari kuwa Wenyeji wa Mashindano ya 2016 African Nations Championship (Chan 2016) ambayo yanaanza Jumamosi Nchi kwao.
Fainali hizo za Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wachezao ndani ya Afrika zitachezwa Nchini Rwanda kuanzia Januari 16 hadi Februari 7 na kushirikisha Nchi 16.
CAF, Shirikisho la Soka Afrika ndio husimamia Mashindano haya yanayochezwa kila baada ya Miaka Miwili na yalianzishwa rasmi Mwaka 2009.
Nchi nyingine ambazo zimewahi kuwa Wenyeji wa CHAN ni Ivory Coast, Sudan na South Africa.
Taarifa kutoka Rwanda zimesema kuwa Nchi hiyo imetumia Dola Milioni 21.4 kugharamia matayarisho na ukarabati wa Viwanja huko mji Mkuu Kigali, Huye na Rubavu kwa ajili ya Mashindano haya.
MAKUNDI
KUNDI A: Gabon, Ivory Coast, Morocco, Rwanda
KUNDI B: Angola, Cameroon, Congo DR, Ethiopia
KUNDI C: Guinea, Niger, Nigeria, Tunisia
KUNDI D: Mali, Uganda, Zambia, Zimbabwe
CHAN 2016
RATIBA
Makundi
**Saa za Bongo
Jumamosi Januari 16
Rwanda v Ivory Coast Amahoro, Kigali 16:00
Gabon v Morocco Amahoro, Kigali 19:00
Jumapili Januari 17
DR Congo v Ethiopia Stade Huye 16:00
Angola v Cameroon Stade Huye 19:00
Jumatatu Januari 18
Tunisia v Guinea Stade Régional de Nyamirambo 16:00
Nigeria v Niger Stade Régional de Nyamirambo 19:00
Jumanne Januari 19
Zimbabwe v Zambia Rubavu 16:00
Mali v Uganda Rubavu 19:00
Jumatano Januari 20
Rwanda v Gabon Amahoro, Kigali 16:00
Morocco v Ivory Coast Amahoro, Kigali 19:00
Alhamisi Januari 21
DR Congo v Angola Stade Huye 16:00
Cameroon v Ethiopia Stade Huye 19:00
Ijumaa Januari 22
Tunisia v Nigeria Stade Régional de Nyamirambo 16:00
Niger v Guinea Stade Régional de Nyamirambo 19:00
Jumamosi Januari 23
Zimbabwe v Mali Rubavu 16:00
Uganda v Zambia Rubavu 19:00
Jumapili Januari 24
Morocco v Rwanda Amahoro, Kigali 16:00
Ivory Coast v Gabon Stade Huye 16:00
Jumatatu Januari 25
Ethiopia v Angola Amahoro, Kigali 16:00
Cameroon v DR Congo Stade Huye 16:00
Jumanne Januari 26
Guinea v Nigeria Rubavu 16:00
Niger v Tunisia Stade Régional de Nyamirambo 16:00
Jumatano Januari 27
Zambia v Mali Stade Régional de Nyamirambo 16:00
Uganda v Zimbabwe Amahoro, Kigali 16:00
Hakuna maoni :