• Manchester City (4-2-3-1): Hart 7, Maffeo 6.5, Stones 7 (Adarabioyo 60, 6)...

  • SALVATORY EDWARD Kiungo wa zamani wa timu ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kide...

  • Baada ya kikosi cha Mwadui FC kuchapwa kwa bao 1-0 katika mechi yao ya Lig...

  • Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limeweka bayana kuwa, lipo kwenye mpango wa ...

SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / JOKOVIC AENDELEA UBABE KWA KUMTWANGA MURRAY NA KUBEBA AUSTRALIAN OPEN


Novak Jokovic ameendeleza ubabe wake kwa Andy Murray wa Uingereza kwa kumshinda na kubeba taji maarufu la mchezo wa tenisi la Australian Open.

Katika mechi hiyo ya fainali iliyopigwa mjini Melbourne, Australia, ushindani ulikuwa mkali na kupelekea mechi hiyo kwisha kwa saw mvili na dakika 53.

Jokovic aria wa Australia ameibuka na ushindi wa seri 6-1, 7-5 na  7-6 akiwa ameshinda zone taut lakini mbili za mwisho, ikiwa ni kwa mbinde.





WALIOCHUKUA MARA NYINGI UBINGWA WA AUSTRALIA
17 - Roger Federer 
14 - Rafael Nadal, Pete Sampras 
12 - Roy Emerson 

11 - Bjorn Borg, Rod Laver, Novak Djokovic 










«
Next
EMIRATES FA CUP-DROO RAUNDI YA 5 YAFANYIKA, CHELSEA-CITY, ARSENAL-HULL, SHREWSBURY-MAN UNITED.
»
Previous
Hivi Ndivyo Edward Lowassa Anavyoishi Kama Rais nje ya Ikulu.

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply