SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / KWA NIABA YA SIMBA, KABURU ALIKUWEPO KUMPA SAPOTI SAMATTA


Makamu Rais wa Simba, Geofrey Nyange Kaburu alijitokeza kuungana na Watanzania wengine kumpongeza Mbwana Samatta ambaye amebeba tuzo ya Mwanasoka Bora Afrika kwa wanaocheza Afrika.

Watanzania walijitokeza sehemu za barabara za jiji la Dar es Salaam kumpongeza Samatta, baadaye akapelekwa kwenye Ukumbi wa Escape One kujumuika na mashabiki waliojitokeza pamoja na wadau mbalimbali akiwemo Kaburu.

«
Next

Chapisho Jipya

»
Previous

Taarifa za zamani

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply