SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / Maajabu..Mwanamke Akutwa Chini ya Shimo la Choo...Inasemekana Aliwekwa Kama Msukule..Samahani kwa Picha.

Picha hizi Zinasambaa Mtandaoni hasa Instagram zikimuonyesha Mwanamke akiwa hivyo

Inasemekana Mwanamke huyo amekutwa ndani ya chemba (sewage) ya Mkazi/Mfanyabiashara Mchagga wa Kibamba aliyejulikana kwa jina la Mtei. Amefikaje? Haikufahamika ila walisikika wananchi wakisema ni msukule.dunia ina mambo hii duuuuu

Tunafatilia Habari Kamili kisa cha huyo dada kuishi ndani ya Shimo la choo.

«
Next

Chapisho Jipya

»
Previous

Taarifa za zamani

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply