SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / MAPINDUZI CUP 2016: YANGA, AZAM, NGOMA DROO!

AMAAN-STADIUMWABABE wa Ligi Kuu Vodacom, Tanzania Bara, Yanga na Azam FC, Usiku huu wametoka Sare ya 1-1 katika Mechi ya Kundi B la Mapinduzi Cup 2016 iliyochezwa Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar.

Azam Fc walitangulia kufunga kwa Bao la Kipre Tchetche Dakika ya 58 na Yanga kurudisha kupitia Vinceny Bosou Dakika ya 82.

Kwenye Mechi hii, Kepteni wa Azam FC, John Bocco, alitolewa nje kwa Kadi Nyekundu mara baada ya Azam FC kupata Bao lao.

Matokeo haya yameacha kitendawili nani watafuzu Nusu Fainali toka Kundi B ingawa Yanga na Mtibwa Sugar wanaweza kupita wote wakitoka Sare katika Mechi yao ya mwisho ambayo wanakutana wao.

Ili kusonga Nusu Fainali, Azam FC lazima washinde Mechi yao ya mwisho na Mafunzo FC.

VIKOSI:
YANGA: Deogratius Munishi 'Dida', Juma Abdul Jafary, Mwinyi Haji Ngwali Makame, Pato Ngonyani, Kelvin Patrick Yondani, Mbuyu Twite Jnr, Saimon Happygod Msuva, Thaban Michael Kamusoko, Amiss Jocelyn Tambwe, Donald Dombo Ngoma, Deus David Kaseke.

Akiba: Ally Mustafa Barthez, Oscar Fanuel Joshua, Vicent Bossou, Issoufou Boubakar Garba, Salum Telela, Geofrey Furaha Mwashiuya, Paul Nonga, Malimi Busungu, Matheo Simon Anthony

AZAM FC: Aishi Manula, Shomari Kapombe, Racine Diouf, Pascal Wawa, Abdallah Kheri, Jean Mugiraneza, Himid Mao, Ame Ali, Ramadhan Singano, John Bocco, Kipre Tchetche

Akiba: Ivo Mapunda, David Mwantika, Frank Domayo, Mudathir Yahaya, Allan Wanga, Gadiel Michael, Said Morad, Khamis Mcha, Didier Kavumbagu
+++++++++++++++++++++++++++++++
KUNDI A:
Namba
Timu
P
W
D
L
F
A
GD
PTS
1
URA
1
1
0
0
3
1
2
3
2
Jamhuri
1
0
1
0
2
2
0
0
3
Simba
1
0
1
0
2
2
0
0
4
JKU
1
0
0
1
1
3
-2
0
KUNDI B:
Namba
Timu
P
W
D
L
F
A
GD
PTS
1
Yanga
2
1
1
0
4
1
3
4
2
Mtibwa Sugar
2
1
1
0
2
1
1
4
3
Azam FC
2
0
2
0
2
2
0
2
4
Mafunzo
2
0
0
2
0
4
-4
0
**Washindi Wawili wa juu wa kila Kundi watasonga Nusu Fainali.
++++++++++++++++++++
RATIBA/MATOKEO:
**Saa za Bongo
**Mechi zote kuchezwa Amaan Stadium, Zanzibar
Jumapili Januari 3
Yanga 3 Mafunzo 0
Mtibwa Sugar 1 Azam FC 1
Jumatatu Januari 4
JKU 1 URA 3
Simba 2 Jamhuri 2
Jumanne Januari 5
Mafunzo 0 Mtibwa Sugar 1
Azam FC 1 Yanga 1
Jumatano Januari 6
1615 Jamhuri v JKU
2015 URA v Simba
Alhamisi Januari 7
1615 Azam FC v Mafunzo
2015 Mtibwa Sugar v Yanga
Ijumaa Januari 8
1615 Jamhuri v URA
2015 Simba v JKU
Nusu Fainali
Jumapili Januari 10
1615 Mshindi A v Wa Pili B
2015 Mshindi B v Wa Pili A
Fainali
Jumatano Januari 13

«
Next

Chapisho Jipya

»
Previous

Taarifa za zamani

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply