SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / MESSI AMBWAGA RONALDO NA KUBABE BALLOND'OR ASEEEE


Mshambuliaji nyota wa Barcelona na Argentina, Lionel Messi amefanikiwa kubeba tuzo ya mwanasoka Bora wa Dunia kwa mara ya tano.

Messi amebeba tuzo hiyo huku mpinzani wake Cristiano Ronaldo kutoka Real Madrid akiwa katika harakati za kusawazisha kwa kuwa amechukua mara tatu na Messi alikuwa amechukua mara nne.

UShindi huo wa Messi, unamfanya amzidi Ronaldo mara mbili kutwaa tuzo hiyo.

Neymar amefanikiwa kushika nafasi ya tatu nyumba ya mshindi Messi na Ronaldo.

MESSI MFALME WA BALLOND'OR, AMECHUKUA MARA NYINGI ZAIDI:
Lionel Messi 5
Cristiano Ronaldo 3
Marco van Basten 3
Michel Platini 3
Johan Cruyff 3







«
Next

Chapisho Jipya

»
Previous

Taarifa za zamani

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply