MSHIRIKI wa Miss Tanzania 2005 ambaye pia ni mcheza fi
lamu, Maureen Gislary ameibuka na kutaka namba ya simu ya mchezaji wa
timu ya Taifa Stars na Klabu ya TP Mazembe ya DR Congo,Mbwana Samatta
kwa gharama yoyote.
Akizungumza na Amani Sports, Maureen aliyekuwa kumi bora
katika kinyang’anyiro hicho cha Miss Tanzania kilichoshuhudiwa kwa Nancy
Sumari kuibuka mshindi alisema kuwa, nia ya kuhitaji namba hiyo
nikuhakikisha anamuweka Samatta ‘kibindoni’ kabla hajatimkia nje ya
nchi.
“Kwanza nimefurahishwa sana na ushindi wake wa Tuzo ya
Mchezaji Bora wa Afrika kwa Wachezaji wa Ndani mwaka 2015, mwenye namba
yake tafadhalini naiomba kwa gharama
yoyote nitatoa,” alisema Maureen.
yoyote nitatoa,” alisema Maureen.
Hakuna maoni :