SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / NEVILLE AENDELEA KUFULIA LA LIGA, VALENCIA YACHAPWA MABAO 2-0



Real Sociedad imeitia njaa Valencia kwa kuichapa mabao 2-0 katika mechi ya La Liga, jana.

Sociedad imeibuka na ushindi huo na kuzidi kumpa wakati mgumu Kocha Garry Neville na msaidizi wake, Phil Neville ambaye ni mdogo wake na wote ni wachezaji wa zamani wa Manchester United na timu ya taifa ya England.




«
Next

Chapisho Jipya

»
Previous

Taarifa za zamani

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply