• Manchester City (4-2-3-1): Hart 7, Maffeo 6.5, Stones 7 (Adarabioyo 60, 6)...

  • SALVATORY EDWARD Kiungo wa zamani wa timu ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kide...

  • Baada ya kikosi cha Mwadui FC kuchapwa kwa bao 1-0 katika mechi yao ya Lig...

  • Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limeweka bayana kuwa, lipo kwenye mpango wa ...

SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / PATO ATUA LONDON KUMALIZA MAZUNGUMZO ILI AJIUNGE NA CHELSEA, NI YULE WA AC MILAN ENZI ZILE.


Mshambuliaji Alexandre Pato yuko jijini London, England kumalizia mazungumzo kabla ya kujiunga na Chelsea.

Raia huyo wa Brazil aliyewahi kung’ara akiwa na AC Milan ametua jijini London na kupokelewa na marisa wa Chelsea.

Pato ambaye sasa anaitumikia Sao Paulo ya kwao Brazil ataungana na kikosi cha Chelsea kama mambo yote yataenda safi usiku huu.

Taarifa zinaeleza kwamba Chelsea iko tayari kumrejesha Mbrazili huyo Ulaya kwa kitita cha pauni milioni 7.







«
Next
MAN CITY YAINYOOSHA EVERTON 3-1, YAIFUATA LIVERPOOL FAINALI CAPITAL ONE CUP KWA JUMLA YA MABAO 4-3, NI BAADA YA KUFUNGWA MECHI YA KWANZA 2-1 UGENINI.
»
Previous
ARSENAL HAIJASHINDA MECHI TATU SASA, WENGER AHAMISHIA NGUVU KWA BURNLEY.

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply