• Manchester City (4-2-3-1): Hart 7, Maffeo 6.5, Stones 7 (Adarabioyo 60, 6)...

  • SALVATORY EDWARD Kiungo wa zamani wa timu ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kide...

  • Baada ya kikosi cha Mwadui FC kuchapwa kwa bao 1-0 katika mechi yao ya Lig...

  • Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limeweka bayana kuwa, lipo kwenye mpango wa ...

SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / BAADA YA KUIFUMUA MGAMBO, SIMBA YAANZA SAFARI YA KWENDA SHINYANGA KUIFUATA SHINYANGA.




Kikosi cha Simba kimeindoka jijini Dar es Salaam leo alfajiri kwenda mkoani Shinyanga kwa ajili ya mechi yake ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Kagare Sugar.

Simba wameondoka na basi lao wakiwa na kikosi kamili kasoro mshambuliaji Paul Kiongera ambaye ni majeruhi na amerejea kwao Kenya kujiuguza.

Msemaji wa Simba, Haji Manara amesema safari hiyo imeanza mapema kwenda kupambana tena mjini Shinyanga.

Mechi hiyo itapigwa keshokutwa Jumamosi kwa kuwa Kagera Sugar imeamua kuuhama Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora na kurejea Shinyanga. Hii inatokana na Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba kuwa kwenye matengenezo makubwa.
"Baada ya kazi moja, inafuata nyingine. Tumeanza safari ya kwenda Shinyanga, tunaomba dua zenu," alisema Manara.

Simba inakwenda Shinyanga baada ya kuwa imetoa kipigo cha mabao 5-1 kwa Mgambo Shooting ya Tanga, jana.

«
Next
KAMA WANALIA VILE; MESSI, SUAREZ KILA MTU NA MMPIRA WAKE.
»
Previous
SHABIKI WA YANGA AANNGUKA CHINI NA KUPOTEZA FAHAMU BAADA YA PRISONS KUFUNGA GOLI LA PILI

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply