
Nduguzangu Tanga kumetokea ajali kubwa ya busi la Simba Mtoto majira ya saa kumi na mbili gari hiyo ilikua inatoka Tanga kwenda Dar es salaam na imegongana na Semi Trella uso kwa uso kwenye maeneo ya Panda Mlima jirani naHale majeraha wako Muheza teule na maiti bado zimebanwa kwenye busi. Mungu awape nguvu waliofiwa pia awaponyeshe wale waliopatwa na majeraha katika ajali hiyo.





Hakuna maoni :