SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / KAZIMOTO APEWA KWA DHAMANA SHINYANGA, KESI YAKE KUSIKILIZWA TENA MACHI 21.


Kiungo mkongwe wa Simba, Mwinyi Kazimoto ameachiwa kwa dhamana baada ya shauri lake kusikilizwa kizimbani katika mahakama ya Mkoa wa Shinyanga, leo.

Kazimoto anatuhumiwa kumshambulia mwandishi wa kampuni ya Mwananchi Communication Ltd, Mwanahiba Richard.

Mkongwe huyo ameachiwa kwa dhamana na kesi yake itasikilizwa kwa mara ya Machi 21, mwaka huu.

«
Next

Chapisho Jipya

»
Previous

Taarifa za zamani

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply