SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / MAYANJA SASA HESABU NI KWENDA MBELE, MAMBO YA YANGA AYAINGIZA KWENYE MAFUNZO.


Kocha wa Simba, Jackson Mayanja amesema tayari ameanza hesabu za kuangalia mbele, hasa kuhusiana na mechi zinazokuja.

Mayanja raia wa Uganda anaamini bado Simba ina mechi ngumu na muhimu mbele yake, hivyo lazima ijipange hasa.

Kocha huyo raia wa Uganda, amesema amekuwa akiyafanyia kazi makosa ya mechi yao dhidi ya Yanga ambayo walipoteza kwa mabao 2-0.

“Baada ya hapo, zaidi naangalia mbele. Kikubwa ninakuwa naangalia mbele kwa kuwa tulipoteza mchezo mmoja katika mechi nane.


“Kupoteza ni sehemu ya mafunzo, inaweza kuwa ni sehemu nzuri ya kujirekebisha kwa kuwa tuna mechi nyingi mbele,” alisema Mayanja.

«
Next

Chapisho Jipya

»
Previous

Taarifa za zamani

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply