SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / DHAIRA AFARIKI DUNIA, NI BAADA YA KUSUMBULIWA KWA KANSA YA UTUMBO.




Kipa wa zamani wa Simba na Uganda ‘The Cranes’, Abel Dhaira amefariki dunia leo nchini Iceland alipokuwa akipatiwa matibabu.

Mitandao mitatu ya michezo ya Uganda ukiwemo ule wa Kawowo.com imetangaza kifo cha kipa huyo aliyekuwa akisumbuliwa na kansa ya utumbo.

Dhaira amefariki akiwa na umri wa miaka 28 na Januari mwaka huu ndiyo aligundulika kuwa na ugonjwa huo.

Hadi mauti yanamkuta alikuwa bado ni kipa wa IBV Vestmanaeyjar ya  Iceland.

PUMZIKA KWA AMANI DHAIRA




«
Next

Chapisho Jipya

»
Previous

Taarifa za zamani

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply