• Manchester City (4-2-3-1): Hart 7, Maffeo 6.5, Stones 7 (Adarabioyo 60, 6)...

  • SALVATORY EDWARD Kiungo wa zamani wa timu ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kide...

  • Baada ya kikosi cha Mwadui FC kuchapwa kwa bao 1-0 katika mechi yao ya Lig...

  • Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limeweka bayana kuwa, lipo kwenye mpango wa ...

SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / Serikali ya Tanzania Kuingiza Nchini Ndege 2 za Kisasa Kutoka Canada Ndani ya Siku 60.

Serikali ya Tanzania imeingia makubaliano ya ushirikiano wa anga na Serikali ya Quwait. 

Makubaliano hayo yatawezesha mashirika ya ndege ya nchi zote mbili kufanya safari za moja kwa moja na kukuza sekta ya utalii.

Wakati hayo yakijiri, Wizara ya Mawasiliano na Uchukuzi imethibitisha kwamba imeagiza ndege za kisasa kutoka nchini Canada ambazo zinatarajiwa kuwasili nchini ndani ya siku 60 (miezi miwili ijayo).

Kwa kuanzia, awamu ya kwanza ya ndege hizo zitafanya safari za ndani bara na visiwani kabla ya kujitanua ndani na nje ya Afrika.

Shime watanzania, tusimame kidete na serikali yetu kuhakikisha kwamba tunaachana na unyonge wa kutumia ndege za mashirika ya nchi jirani. Hii ni fursa nzuri ya uwekezaji katika sekta ya chakula, nishati, vinywaji n.k.

«
Next
Boss wa Clouds FM Ruge Akanusha Gerald Hando na PJ Kuacha Kazi.
»
Previous
Nchi 10 kati ya 14 za Ulaya Zasitisha Misaada Tanzania.

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply