SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / UTANI WA WATANI, MITANDAONI: ETI SIMBA WANACHUNGULIA KAMA YANGA WAMESHAONDOKA NAO WAJIDAI.



Mashabiki wa soka wana mambo mengi. Simba na Yanga wana haki ya kutaniana kwa kuwa ni watani.

Mashabiki wa Yanga wametupia picha ya myama Simba anayeiwakilisha Simba, akionekana ni mwoga, anayechungulia jambo.

Lakini wakaandika manejo haya: “Bado wapo au washaenda Rwanda na mimi nijidai kidogo.”

Kwamba Yanga akiondoka, Simba nao watakuwa wana nafasi ya kujidai. Haya ni mambo ya watani. hehehehe.

«
Next

Chapisho Jipya

»
Previous

Taarifa za zamani

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply