SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / VPL: COASTAL, JKT RUVU ZASHINDA, ALHAMISI SIMBA KUKWEA KILELE.


VPL-LIGI KUU VODACOM                     
Matokeo:
Jumatano Machi 9
Tanzania Prisons 1 Kagera Sugar 1
Coastal Union 1 Mgambo JKT 0
Mwadui FC 0 Majimaji FC 0
JKT Ruvu 2 Toto African 0

VPL-SIT-LOGOVPL, Ligi Kuu Vodacom, iliendelea Leo kwa Mechi 4 katika Viwanja mbalimbali.
VPL-MAR9
Huko Mkwakwani, Tanga, Coastal Union iliwatungua wenzao wa Tanga, Mgambo JKT, Bao 1-0 wakati huko Mbeya, Tanzania Prisons na Kagera Sugar zikitoka Sare ya 1-1 na Sare nyingine ilikuwa ya 0-0 huko Shinyanga kati ya Mwadui FC na Majimaji FC.

Jijini Dar es Salaam, JKT Ruvu iliwachapa Toto African Bao 2-0.

VPL itaendelea kwa Simba kucheza Alhamisi Jijini Dar es Salaam na Ndanda FC wakati Siku hiyo hiyo huko Sokoine Jijini Mbeya ni Mbeya City na Staind United.

LIGI KUU VODACOM                             
Ratiba
Alhamisi Machi 10
Simba v Ndanda FC
Mbeya City v Stand United

«
Next

Chapisho Jipya

»
Previous

Taarifa za zamani

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply