• Manchester City (4-2-3-1): Hart 7, Maffeo 6.5, Stones 7 (Adarabioyo 60, 6)...

  • SALVATORY EDWARD Kiungo wa zamani wa timu ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kide...

  • Baada ya kikosi cha Mwadui FC kuchapwa kwa bao 1-0 katika mechi yao ya Lig...

  • Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limeweka bayana kuwa, lipo kwenye mpango wa ...

SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / LIGI KUU KUENDELEA KESHO-VIPORO: YANGA V MWADUI, MTIBWA V AZAM


VPL-SIT-LOGOLigi Kuu ya Vodacom Tanzania inatarajiwa kuendelea kesho Jumatano, kwa michezo miwili ya viporo kuchezwa katika viwanja vya Manungu Turiani mkoani Morogoro na uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.VPL-APR12
Young Africans wanaoshika nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi, watakua wenyeji wa Mwadui FC inayokamata nafasi ya sita katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
Wakata miwa wa Turiani, Mtibwa Sugar walio katika nafsi ya nne ya msimamo wa ligi kuu watawakaribisha Azam FC walio juu yao nafasi ya tatu, mchezo utakaochezwa katika uwanja wa Manungu Turiani mkoani Morogoro.
IMETOLEWA NA TFF
LIGI KUU VODACOM                             
Ratiba:
Jumatano Aprili 13
Mtibwa Sugar v Azam FC  
Yanga v Mwadui FC
Jumamosi Aprili 16
Coastal Union v JKT Ruvu  
Yanga v Mtibwa Sugar      
Jumapili Aprili 17
Simba SC v Toto Africans  
Jumatano Aprili 27
Azam FC v Majimaji
Yanga v Mgambo JKT       
Jumamosi Aprili 30
Toto Africans v Yanga       
Simba SC v Azam FC        
Ndanda FC v Kagera Sugar
African Sports v Coastal Union    
Mwadui FC v Stand United
Mtibwa Sugar v Mbeya City

«
Next
TFF YAWASHUKURU WADAU, VIONGOZI, WACHEZAJI NA MASHABIKI.
»
Previous
HII NDIYO SIRI YA USHINDI WA AZAM JANA

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply