Sumaye nae ahoji kama Richmond ni ya Lowassa kwanini inalipwa?
Lowassa anapiga kampeni za kisayansi, walitegemea atawajibu kuhusu Richmond sasa itabidi waendelee kusubiri hadi siku ya kupiga kura watakapopata majibu wanayoyataka.
Na sisi wananchi tuko tayari kumjibia siku hiyo
Hakuna maoni :