SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / ANGA SC WAOMBA KUFANYA UCHAGUZI, TFF YAWAAMBIA; "SUBIRINI NCHI IPATE RAIS MPYA"


SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limesema limepokea maombi ya klabu ya Yanga SC kutaka kufanya uchaguzi wake mkuu wa viongozi wa klabu hiyo kwa nafasi za Mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti na wajumbe wa kamati ya Utendaji.
Hata hivyo, Taarifa ya TFF imesema wameiomba klabu hiyo kufanya mkutano wake wa Uchaguzi wa viongozi baada ya kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Rais, Wabunge na Madiwani) utakaofanyika Oktoba 25, 2015.
Hii ni kutokana na unyeti wa uchaguzi wa klabu ya Yanga yenye matawi nchini kote.
Mwenyekiti wa sasa Yanga SC, Yussuf Manji

«
Next

Chapisho Jipya

»
Previous

Taarifa za zamani

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply