• Manchester City (4-2-3-1): Hart 7, Maffeo 6.5, Stones 7 (Adarabioyo 60, 6)...

  • SALVATORY EDWARD Kiungo wa zamani wa timu ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kide...

  • Baada ya kikosi cha Mwadui FC kuchapwa kwa bao 1-0 katika mechi yao ya Lig...

  • Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limeweka bayana kuwa, lipo kwenye mpango wa ...

SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / HANS POPPE AMEKATAA KUNYWA SUPU YA MAWE, ASEMA YANGA HAKI YAO KUITEMA, WAMEINYWA SANA




Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zacharia Hans Poppe amesema asingeweza kuinywa supu ya mawe waliyowaandalia Yanga, badala yake wameshituka.

Hans Poppe amesema wasingeweza kuinywa supu hiyo kwa kuwa ilikuwa ya Yanga. Hivyo Yanga hawapaswi kuiga ila waseme waliiangalia Simba kitu gani.

“Waache kuiga, sisi tulisema tokea mapema kwamba tuliwaangalia supu ya mawe. Sasa nao waseme walituandalia nini.

“Mimi naona wana haki ya kuitema, maana wameinywa kwa miaka minne mfululizo. Sasa wana haki ya kuitema,” alisema.


Yanga imeichapa Simba kwa mabao 2-0 katika mechi ya Ligi Kuu Bara kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, jana.

«
Next
MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI KWENYE LIGI KUBWA DUNIANI
»
Previous
NYOSSO ARUDIA YALEYALE YA MAGURI, SAFARI HII AMDHALILISHA BOCCO CHAMAZI, ATAKA KUMCHAPA...

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply