SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / MANCHESTER CITY KAMA KAWAIDA CHAMPIONS LEAGUE, YATULIZWA 2-1 NYUMBANI NA JUVENTUS



Manchester City ni fungu la kukosa kila unapozungumzia Ligi ya Mabingwa Ulaya.

Leo wakiwa nyumbani Etihad, wamechapwa mabao 2-1 na mabingwa wa Italia, Juventus.
Juve walianza kujifunga kwa bao la beki Girgio Chiellini lakini baadaye Juventus wakasawazisha na kuongeza.
Kwanza alianzia Mario Mandzukic kabla ya kijana matata Alvaro Morata kufanya mambo yake kwa kufunga bao la pili.
Nahodha wa Man City, Vincent Kompany alikuwa nje akishuhudia jahazi likizama baada ya kutolewa nje kutokana na kuumia.




«
Next

Chapisho Jipya

»
Previous

Taarifa za zamani

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply