• Manchester City (4-2-3-1): Hart 7, Maffeo 6.5, Stones 7 (Adarabioyo 60, 6)...

  • SALVATORY EDWARD Kiungo wa zamani wa timu ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kide...

  • Baada ya kikosi cha Mwadui FC kuchapwa kwa bao 1-0 katika mechi yao ya Lig...

  • Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limeweka bayana kuwa, lipo kwenye mpango wa ...

SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / MGOMBEA MWENZA WA URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KUPITIA UKAWA MH JUMA DUNI HAJI AKIWA ZIARANI KILWA KUSINI




Mgombea mwenza wa urais Chadema, Juma Duni Haji akiwapungia mikono wananchi wakati akielekea jukwaani kuwahutubia kwenye mkutano wa kampeni katika kiwanja cha Mandawa Jimbo la Kilwa Kusini mkoani Lindi. 

Mgombea mwenza wa urais Chadema, Juma Duni Haji akimkabidhi kadi ya CUF aliyekuwa mwanachama wa CCM baada ya kurudisha kadi ya chama hicho kwenye mkutano wa kampeni katika kiwanja cha Mandawa Jimbo la Kilwa Kusini mkoani Lindi.






Mgombea mwenza wa urais Chadema, Juma Duni Haji akiwaaga wananchi baada ya kumaliza kuwahutubia kwenye mkutano wa kampeni katika kiwanja cha Mandawa Jimbo la Kilwa Kusini mkoani Lindi

«
Next
»
Previous
HAJI MANARA AWAPONGEZA YANGA, ALIA NA NGOMA KUMPIGA KICHWA KESSY KWA MAKUSUDI NA NKONGO AKAJIKAUSHA, AWARUSHIA TFF

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply